Misioni na Uinjilisti

Missionary Services

Dayosisi ya kaskazini imehusika katika kupeleka huduma ya injili katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi ambayo hayakuwa yamefikiwa na injili (Huduma ya Misioni) sawa na maagizo ya neno la Mungu katika kitabu cha Math. 28:19 “Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu”

Dayosisi ya kaskazini imefanya huduma hii ndani na nje ya nchi kwa kushirikiana na Umoja wa dayosisi za K.K.K.T.

Ndani ya Nchi: Huduma hii imefanyika ndani ya dayosisi na nje ya Dayosisi

Ndani ya Dayosisi:

Nje ya Dayosisi:
K.K.K.T Dayosisi ya Konde
K.K.K.T Dayosisi ya Kusini Kati
Misioni ya Rukwa

Nje ya Nchi:
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Kenya
Malawi
Msumbiji
Uganda
Rwanda na Zambia
Leave a Reply

Leave a Reply