Idara ya Majengo

Idara ya Majengo  inasimamiwa na Archt Elimringi Maringo,ni mojawapo ya Idara za K.K.K.T Dayosisi ya Kaskazini, zilizoundwa ili kusaidia Dayosisi kujiendesha.

Idara hii inashughulika na utoaji huduma za kitaalamu za usanifu na kusimamia ujenzi na ukarabati wa  majengo ya aina zote, yanayohitajika katika kusaidia Dayosisi na Kanisa kuendesha shughuli zake. Hii ni kwa Sharika, Vituo, Vitengo vya Dayosisi na Taasisi nyingine za Kanisa kwa ujumla.

Idara hii ipo kwenye mchakato wa kukuwa kutoka Idara na kuwa Kituo cha Uchumi cha DK.

Kituo hiki kitakuwa Kampuni ya Consaltancy na Ujenzi yenye Architects, Engineers, Quantity Surveyors (Estimators), n.k   na Kampuni itaendesha Duka la vifaa vya ujenzi( Hardware).

OLYMPUS DIGITAL CAMERA OLYMPUS DIGITAL CAMERA

 

Leave a Reply