Mipango na Miradi

Idara hii inasimamiwa na  Mch. Godson Mosha,ambayo ipo Ofisi kuu ya KKKT Dayosis ya Kaskazini.  Katika miradi ya Dayosis; Idara hii inashughulika kufuatilia utekelezwaji wa sera mbalimbali za Dayosis na Serikali kwa vituo vya DK.  Idara inaandaa maandiko ya miradi yanapohitajika, inahakikisha mali za Dayosisi zinatunzika na nikiungo kati ya Vituo na Uongozi wa Dayosisi.

Idara pia inaanda mipango yote ya Dayosisi na kutafsiri takwimu za washarika wanaohudumiwa na Dayosisi kila mwaka,  ili kutathimini maendeleo ya Dayosis.   Pia ina andaa mipango ya miaka mitatu ya Dayosisi inayohitajika kuwasilishwa LMC

Idara inatathimini, fuatilia na kushauri utekelezaji wa mipango yote ya huduma za jamii na Biashara.

IMG_0541Agape Jr. Seminary-Ufugaji  Kilimo

Leave a Reply