Ofisi kuu

Taswira (Vision) :wajumbeE
Kuwa kanisa linaloongozwa na Roho Mtakatifu, lililojaa waamini wenye afya nzuri,wenye elimu nzuri, waliofurika furaha, upendo na amani; waliobarikiwa kimwili na kiroho na watakao urithi uzima wa milele katika Yesu Kristo.

Dhamira (Mission) :

Kuwawezesha watu wote wamwamini na kumtegemea Mungu katika yesu Kristo ili wawe na uzima tele kwa kuwafundisha habarinjema zinazopatikana katika Neno la Mungu kama ilivyo katika Biblia na mafundisho ya kanisa la kilutheri ili waurithi uzima wa milele.

Kwa kufanya hivyo K.K.K.T – D.K inalenga kujenga kanisa na jamii ya watu wanaojitegemea, wanaojali na kutafuta amani, upendo, usafi wa roho na maendeleo ya pamoja na ya binafsi.

Bishop Quote:

General Secretary Quote:        mchungaji

Hirerachy

Wakuu wa Idara:

Elimu ya Kikristo: Mch. Justine R. Oforo

Vijana na Wanafunzi: Mch. Stephene Masawe

Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii: Bw. Julius Mwanga

Idara ya Majengo: Archt. Elimringi Maringo

Idara ya Udiakonia: Mch. Julius Lema

Idara ya Uwakili na Uchumi: Mch. Andrew Munisi

Idara ya Miradi na Maendeleo: Mch. Godson Mosha

Uratibu Elimu Sekondari na Vyuo: MCh. Joseph Mwakapi

Idara ya wanawake: Mch. Faustine Kawa

Idara ya mawasiliano: Bw. Seth Kitange

Idara ya Hazina ya Dayosisi: Munguatosha Makyao

 

Leave a Reply