Christian Bookshop

book

 

 

Christian Bookshop ni Duka la Vitabu linalomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini.  Christian Bookshop lipo Moshi Mjini ambalo linamatawi yake Rombo, Karatu na Masoka. Duka hili linatoa huduma ya vitabu vya aina mbalimbali kama vya Kanisa, Shule, Vyuo Vikuu pamoja na Huduma za Stationary