Uhuru Hotel

Lutheran Uhuru Hotel and Conference Centre

Lutherani Uhuru Hotel& Conference Centre ni hoteli inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini.  Uhuru Hotel and Comference Centre Inatoa huduma mbalimbali za Kitalii, ina maeneo mazuri ya kupumzikia, maegesho ya magari kumbi za mikutano,  faragha, warsha, harusi, vikao na huduma nyingine nyingi.