Primary health

AFYA

Lishe bora kwa watoto

Watoto 130 hufa kila siku duniani kwa kukosa lishe bora. Watoto wenye umri wa miaka 2 ndio waathirika wa kubwa wa utapiamlo na kufatiwa na hawa wenye umri wa miaka 5. Niwajibu kwa jamii yote kupiga vita utapiamlo kwa watoto kwa kuwapatia chakula. Tusiwatazame WHO na UNICEFU,liwe jukumu langu mimi na wewe kupunguza vifo kwa watoto. Taarifa kwa mujibu wa shirika la Origin Unite hapa nchini.