Angaza Women Center

angKituo cha Angaza (ELCT NORHERN DIOCESE ANGAZA WOMEN CENTRE), ni kituo cha Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini, Jina la kituo Angaza   limetolewa  katika kitabu cha Nabii Isaya 60:1 Amka Angaza(Arise and Shine).  Kituo hiki kiko ndani ya kitengo cha idara ya wanawake ya Dayosisi ya Kaskazini.

Ujenzi wa kituo Hiki ulianza mwaka 1995 hadi 1999 na kuzinduliwa rasmi mwaka 2000.

Kituo cha Angaza hutoa mafunzo kwa kuzingatia misingi ya Imani ya Kikristo katika kuchochea maendeleo ya familia na kuinua hali ya maisha katika jamii, kukuza akili na uchumi kwa jamii kupita wanawake.

 

Angaza WC Environments
Angaza WC Environments
Angaza WC Environments
Angaza WC Environments
Angaza WC Hall
Angaza WC Hall
Tailoring Class
Tailoring Class
Angaza WC min Hall
Angaza WC min Hall
Angaza Children Day Care
Angaza Children Day Care