Mahafali Mwika Bible College
Chuo cha Kilutheri cha Biblia na Theologia Mwika kimefanya Mahafali ya 65 ya kuhitimisha wanafunzi 85 kwa kozi mbalimbali Jumapili ya Oktoba 14, 2018. Mkuu wa KKKT, Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Baba Askofu Read More …