Fellowship & Bible study

Kitengo cha bible study na Fellowship

Hizi ni Ibada maalumu zinazofanyika katikati ya wiki katika sharika na mitaa mbalimbali zikiwa na lengo la kumjenga mkristo katika mafundisho, neno la Mungu na Maombi. katika ibada hizi kanisa hupata nafasi nzuri ya kumhudumia msharika mmoja mmoja na kumsaidia kukua katika kicho cha kumjua Kristo kwa undani zaidi. Kupitia katika Fellowship huduma za kuomba wagonjwa na wenye shida mbalilimbali hufanyika.

Doyosisi ya kaskazini kupitia idara ya elimu ya kikristo huratibu na kusimamia huduma hizi kwa kufanya yafuatayo;

  • Kuratibu masomo yanayofundishwa
  • Kuwajengea uwezo wasimamizi na wafundishaji

Leave a Reply