Majumbani

 

Ibada za nyumba kwa Nyumba ni ibada zinazofanyika katikati ya wiki katika kila mtaa na sharika ambapo washarika hukusanyika majumbani katika mfumo wa kuzungaka nyumba moja baada ya nyumba. Madhumuni makuu ya huduma hii ni kuiweka jamii karibu zaidi na kanisa, kuwajengea washarika wetu uwezo wa kuongoza ibada, na kujenga mahusiano chnya kati ya washarika hivyo kuzidisha Upendo, Umoja, Amani na ushirikiano kati ya washarika. Ibada hizi zote zinaratibiwa na idara ya eimu ya kikristo ya dayosisi.

 

jumuiya

Idara ya Elimu ya Kikristo inamajukumu yafuatayo katika uratibu wa ibada za katikati ya wiki:

  • Kuratibu ibada hizi kidayosisi
  • Kuratibu uandaaji wa masomo na usambazaji wake
  • Kutathimini mwenendo mzima wa Ibada hizi

Leave a Reply