Dini Mashuleni

 

dini3

Dayosisi ya Kaskazini inatoa huduma hii katika shule mbalimali zilizo ndani ya dayosisi hii pamoja na maeneo yote ya misioni. katka kutekeleza majukumu ya kila siku ya huduma hii tunafanya mambo yafuatayo:st

  • Kuhakikisha nyenzo za kujifunzia¬† zinapatikana
  • Kuhakikisha waalimu wakutosha wapo
  • Kuhakikisha madarasa yakutosha yapo
  • Kuwatia moyo wafundishaji na kuwajengea uwezo
  • Kukagua ufundishaji
  • Kupima ufanisi wa kazi
  • Kuhakikisha kuwa vijana walio ndani ya shule hizi wanakuwa wakiwa na Hofu ya kimungu ndani yao.

Leave a Reply