Msaidizi Dayosisi ya Dodoma Mch. Christian Paulo Ndosa awashika mkono.

Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Dodoma Mch. Christian Paulo Ndosa akiwashika mkono washarika wa Sawe baada ya kutoa michango yao kwenye harambee ya ujenzi wa nyumba ya Ibada ya Usharika Machi 8, 2020. Zaidi ya shilingi milioni 50 zilichangwa.

Nyumba ya ibada inayojengwa sawe.