Mch . Veraeli Masawe aingizwa kazini.

Mch . Veraeli  Masawe aingizwa kazini rasmi kuwa Mch. mshauri  wa Masista wa Ushirika wa Neema wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini  baada ya kuchaguliwa  rasmi kuwa mlezi na Mshauri wa masista hao. Tendo hilo lilifanywa na Mkuu wa KKKT ambaye ndiye Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo.

Mama Mkuu Sista Elistaha Mlay akimpongeza Mch.Veraeli Massawe

Mama Mkuu Sista Elistaha Mlay akimpongeza Mch.Veraeli Massawe baada ya kuingizwa kazini kuwa Mch. Mlezi wa       Masista.