Wabarikiwa kuwa Wachungaji

Watheologia watatu (3) wabarikiwa kuwa wachungaji katika ibada iliyofanyika KKKT – DK Usharika wa Moshi Mjini, siku ya Novemba 3, 2019. Kushoto ni Mch. Nazareth Lyimo, Williamson Saro na Mch. Phares Malle.