Wajumbe toka taasisi ya Catholic and Lutheran Green innovation in Kilimanjaro wakutana KKKT DK

Wajumbe toka  taasisi ya Catholic and Lutheran Green innovation in Kilimanjaro wanaojihusisha na kampeni ya uhifahdi wa chakua na  Rotary Club Kilimanjaro baada ya kikao cha kujadili mpango wa kuanzisha mradi wa uhifadhi chakula baada ya mavuno kwenye ukumbi wa mikutano wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini.